Teknolojia yatumiwa kukabiliana na wasiolipa madeni Kenya

Teknolojia yatumiwa kukabiliana na wasiolipa madeni Kenya

Kupata mkopo ni changamoto nzito kwa wengi hasa walio na ndoto za kuwa wafanyabiashara barani Afrika. Benki hupata tabu kutathmini hatari zozote kwasababu idadi kubwa ya watu hawana akaunti ya benki.

Nchini Kenya, baadhi ya wakopeshaji wameanza kutatua tatizo hilo kwa kutumia taarifa za wakopaji zinazokusanywa na makampuni ya kitekonolojia.

Nancy Kacungira ametuandalia taarifa ifuatayo