Watoto wenye ualbino walia ukiwa Tanzania
Watoto wenye ualbino walia ukiwa Tanzania
Ni kawaida katika nchi za Afrika mashariki,watoto wasio na wazazi kuwekwa katika sehemu maalum kwa ajili ya huduma ya malezi,lakini hali ni tofauti kaskazini magharibi mwa Tanzania,ambapo watoto wenye ulemavu wa ngozi huku wakiwa wazazi wote wawili wamewekwa kwenye kituo maalum kama yatima.
Esther Namuhisa alitembelea eneo hilo na kushuhudia mazingira ya watoto hao.