Wanariadha 6 wa Kenya na Ethiopia wafuzu kwa fainali ya mita 5000

Jumla ya wanariadha 6 kutoka Afrika watashiriki fainali ya mbio za mita 5000 Jumamosi Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Jumla ya wanariadha 6 kutoka Afrika watashiriki fainali ya mbio za mita 5000 Jumamosi

Wanariadha sita kutoka Afrika walioshiriki mbio za mchujo wamefanikiwa kufuzu katika fainali za mita 5000 ambazo zitafanyika siku ya Jumamosi. Hao ni pamoja na:

Hellen Obiri (Kenya)

Mercy Cherono (Kenya)

Almaz Ayana (Ethiopia), Ambaye pia alishinda dhahabu katika mbio za mita 10,000.

Senbere Teferi (Ethiopia)

Vivian Cheruiyot (Kenya), Ambaye pia alishinda fedha katika mbio za mita 10,000.

Pamoja na Ababel Yeshaneh (Ethiopia)