Viongozi wa vijiji Tanzania wataweza kusimamia Sh50m?
Huwezi kusikiliza tena

Viongozi wa vijiji Tanzania wataweza kusimamia Sh50m?

Serikali ya Tanzania imetenga milioni 50 kwa kila kijiji nchini Tanzania kama mpango wa ahadi ya serikali iliyopo madarakani.

Haba na Haba inahoji, kwa namna gani viongozi wa vijiji na wananchi wamejengewa uwezo wa kusimamia matumizi ya fedha hizo?