Muziki wa singeli washika kasi Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Muziki wa singeli washika kasi nchini Tanzania

Muziki hubadilika na kuja na vionjo tofauti, hivi sasa nchini Tanzania wapo na singeli, aina ya muziki unatokana na mchanganyiko wa ladha mbalimbali kama taarab, bongofleva, mnanda na mchiriku. Je aina hiyo ya muziki itapotea au ndio mapinduzi mapya ya burudani nchini humo?

Hii hapa ni taarifa ya Munira Hussein.