Kuwajibika kwa raia katika huduma ya afya
Huwezi kusikiliza tena

Kuwajibika kwa raia katika huduma ya afya Tanzania

Wiki hii katika Haba na Haba tunazungumzia haki na wajibu wa mtumiaji wa huduma za afya. Je umewahi kuwajibika baada ya kuona haki zako za kuwa mtumiaji wa huduma za afya ama mgonjwa zimekiukwa?