Kusherehekea utamaduni na utangamano pwani ya Kenya

Kusherehekea utamaduni na utangamano pwani ya Kenya

Nchini Kenya, juhudi za kuimarisha utangamano zimeshika kasi huku nchi hiyo ikijiandaa kwa uchaguzi mkuu mwakani.

Mwandishi wetu Ferdinand Omondi amehudhuria tamasha la kitamaduni mjini Mombasa ambapo maelfu walikusanyika kujionea utamaduni mbalimbali wa Kenya.