Kupatwa kwa jua nchini Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Dk.Nurjan Jiwaj, mtalaam wa sayansi ya anga nchini Tanzania na mmoja wa waratibu wa tukio

Wageni kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika na Ulaya, pamoja na wanasayansi wa anga, wapo katika mji wa Rujewa mkoani Mbeya kusini,Magharibi mwa Tanzania, kushuhudia tukio la kihistoria la kupatwa kwa jua kwa kiwango cha asilimia 97 kwa mujibu wa wataalam wa masuala ya anga

Tukio kama hilo hutokea baada ya miaka mingi,ambapo tukio la mwisho,lilikuwa mwaka 1977.