Kijiji ambacho wanaume wengi ni makapera China
Kijiji ambacho wanaume wengi ni makapera China
Wanaume wengi katika kijiji cha Laoya, mkoa wa Anhui mashariki mwa Uchina wamekosa wanawake wa kuoa. Kijiji hicho sasa hujulikana sana kwa utani kama ‘Kijiji cha Makapera’.