Helikopta zaanza kuhudumu kama teksi Kenya

Helikopta zaanza kuhudumu kama teksi Kenya

Kampuni ya teksi ya Uber, imezindua mpango wa usafiri wa teksi kwa kutumia helikopta ambao unajulikana kama Uber Chopper. Hii ni moja ya njia za kusaidia wateja kukabiliana na foleni Nairobi na maeneo mengine.

Kampuni hiyo inalenga kushirikiana na Corporate Helicopters katika mpango huo.

Abdinoor Aden na maelezo zaidi.