Wakuu wa EAC kujadili mkataba wa EU Dar es Salaam
Huwezi kusikiliza tena

Wakuu wa EAC kujadili mkataba wa EU Dar es Salaam

Wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanakutana leo jijini Dar es Salaam kwa mkutano wa dharura.

Pamoja na ajenda zingine, mkutano huu wa 17 unatarajiwa kujadili mkataba wa ushirikiano wa kibiashara kati ya Umoja wa Ulaya (EU) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EPA).

Mwandishi wetu Sammy Awami ana taarifa zaidi.