Brazil yaanza vyema kwa dhahabu ya kwanza

Brasil
Image caption Umbo la moyo lililowekwa katika uwanja wa Marakana ,Rio de Jeneiro

Katika michuano ya watu wenye ulemavu inayoendelea mjini Rio de Jeneiro, mbrazil wakwanza ametwaa dhahabu ya kwanza .Dhahabu hiyo ya kwanza imekwenda kwa wanaume walioshiriki mchezo wa kuruka na pia medali ya fedha imekwenda katika mbio za mita elfu tano ya watu.

Katika kipindi cha siku kumi na moja cha michuano hiyo, zaidi ya medali mia tano zinasubiria washindi. Afisa wa kutoka Belarusi ambaye alikuwa katika maandamano kwenye timu ya Urusi kibali chake kimetupiliwa mbali .

Msemaji wa timu ya Belarus Alexander Lukashenko,Alisema ishara hiyo ilionyesha uungwaji mkono kwa wanariadha Urusi.Urusi imepigwa marufuku kushiriki katika michuano hiyo kwa mara ingine tena kutoka katika kitengo cha kuzuia dawa za

kulevya .