Waathiriwa wa tetemeko Kagera waomba msaada
Huwezi kusikiliza tena

Waathiriwa wa tetemeko Kagera, Tanzania waomba msaada

Waathiriwa wa tetemeko la ardhi lililotokea mkoani Kagera kaskazini mwa Tanzania Jumamosi wanaomba msaada ili kurejea kwenye hali zao kama ilivyokuwa awali.

Watu 16 walifariki kutokana na tetemeko hilo na mamia wengine wamebaki bila makao.

Mwandishi wa BBC John Solombi alizungumza na baadhi yao.