Mwathiriwa wa tetemeko Bukoba: Nilikuta nyumba imekaa chini

Mwathiriwa wa tetemeko Bukoba: Nilikuta nyumba imekaa chini

Waathiriwa wa tetemeko la ardhi lililotokea mkoani Kagera kaskazini mwa Tanzania Jumamosi wanaomba msaada ili kurejea kwenye hali yao ya awali.

Watu 16 walifariki kutokana na tetemeko hilo na mamia wengine wamebaki bila makao.

Zaka Khamis ni mmoaja wa waliopoteza makao.