Je, huduma ya polisi vituoni Tanzania yaridhisha?
Huwezi kusikiliza tena

Je, huduma ya polisi vituoni Tanzania yaridhisha?

Wiki hii, Haba na Haba inaangazia mazingira ya kupata huduma katika vituo vya jeshi la polisi nchini Tanzania.

Je, utoaji huduma unaridhisha?