Wanawake wajifunza kutumia teknolojia Kenya
Wanawake wajifunza kutumia teknolojia Kenya
Kenya ni mojawapo wa mataifa barani Africa, ambapo asilimia kubwa ya raia wanapokea huduma za mitandao.
Hata hivyo, kulingana na utafiti wa wakfu wa World Wide Web, ni asilimia 20% pekee ya wanawake katika vitongoji duni katika mji mkuu wa Nairobi wanaopata huduma za mitandao.
Utafiti huo aidha umebaini kwamba asilimia 57 ya wanaume wanapokea huduma hizo.