Madereva wa malori waliotekwa Congo DRC waokolewa
Huwezi kusikiliza tena

Madereva wa malori wa Tanzania na Kenya waliotekwa DR Congo waokolewa

Madereva wa malori kutoka nchini Tanzania waliokuwa wametekwa katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hatimaye waokolewa na vikosi vya jeshi la nchi hiyo.

Hayo ni kwa mujibu wa waziri wa mambo ya ndani wa nchi hiyo ambaye ameiambia BBC kuwa wote wapo salama.

Mwandishi wa BBC wa eneo la mashariki mwa Congo Byobe Malenga ana taarifa zaidi.