Juhudi za kuokoa utamaduni wa Kiswahili
Huwezi kusikiliza tena

Juhudi za kuokoa utamaduni wa Kiswahili Tanzania

Mdau wa Kiswahili Abdulatif Omar, ambaye ni mkazi wa mjini Tanga, ni mmoja wa watu waliojitolea kusaidia kuokoa tamaduni za Kiswahili ambazo zinakabiliwa na hatari ya kupotea.

Anasimulia mwandishi wa BBC Aboubakar Famau jinsi alivyoguswa na kupotea kwa baadhi ya tamaduni hiz, na ni hatua gani yeye na wenzake wanachukua.