Yaaku, kabila linalokaribia kuangamia Kenya
Huwezi kusikiliza tena

Yaaku, kabila linalokaribia kuangamia Kenya

Nchini Kenya, kabila la Yaaku, ni moja ya kabila linalotambuliwa na shirika la UNESCO kwamba ni dogo zaidi duniani na lililo hatarini kutoweka na kupoteza utamaduni wake kabisa, utamaduni wa kabila unamezwa na jamii ya kabila la Wamaasai.

Mwandishi wa BBC Emmanuel Igunza alitembelea jamii hiyo na kutuandalia ripoti hii.