Tatizo la wahamiaji na wakimbizi duniani

Tatizo la wahamiaji na wakimbizi duniani

Kufikia 2015, waliofurushwa makwao duniani watazidi 65 milioni kwa mujibu wa Chanzo-UNHCR. Maneno tofauti hutumiwa kuwarejelea.

Wakimbizi Waafrika walikuwa 5.2 milioni mwaka 2015 na jumla wakimbizi kote duniani walikuwa 21.3 milioni kwa mujibu wa Ripoti ya UN kuhusu Uhamiaji ya mwaka 2015.

Kwa mujibu wa ripoti hiyo, Wahamiaji Waafrika walikuwa 20,640 mwaka huo na jumla wahamiaji kote duniani ikawa 243,700 .