Vijana wa kike wanaweza kuwa viongozi?
Huwezi kusikiliza tena

Vijana wa kike wanaweza kuwa viongozi Kenya?

Wiki hii BBC Sema ina mada nyingine muhimu sana kwa vijana. Phillys na Njugush wanauliza, je wanawake wanaweza kuongoza kisiasa?

Haswa wanawake vijana, ni wachahe sana uongozini, ni kwa nini inakuwa hivi?