Watoto wanavyotatizika kujifunza lugha Nkombo
Huwezi kusikiliza tena

Watoto wanavyotatizika kujifunza lugha Nkombo, Rwanda

Wakati nchi za afrika mashariki zikishinikiza lugha ya Kiswahili kutumiwa katika nchi hizo, watoto wa shule za msingi katika kisiwa cha Nkombo ziwa Kivu magharibi mwa Rwanda wanashindwa kumudu lugha ya taifa lao kutokana na kuathiriwa na lugha mama.

Hali hii inawalazimu walimu kutafsiri kwanza maneno kwa lugha asilia.

Mwandishi wa BBC Yves Bucyana na taarifa zaidi.