Rekodi za dunia za Guiness: Paka mrefu zaidi
Huwezi kusikiliza tena

Rekodi za dunia: Ndevu, moto na paka mrefu zaidi

Unaweza kutembea kwa kasi kwa kutumia mikono? Na moto je?

Hebu tazama rekodi mpya zilizotambuliwa na Guiness World Records. Miongoni mwa hizo ni ya mwanamke wa umri mdogo zaidi duniani kuwa ndevu zilizokomaa kabisa.

Wengine waliotambuliwa kwenye rekodi za karibuni zaidi ni paka mrefu zaidi anayefugwa kama mnyama kipenzi pamoja na Ilama anayeruka juu zaidi.