Miereka ya Sumo yapata umaarufu Senegal
Miereka ya Sumo yapata umaarufu Senegal
Senegal ni maarufu kwa wanamiereka wake wa kitamaduni lakini sasa mjini Dakar, wanafunzi wanajifunza jambo jipya - Miereka ya Sumo kutoka Japan.
Baadhi ya wanafunzi huunganisha Sumo na michezo mingine ya kujikinga pamoja na miereka ya kitamaduni Afrika.