Ajali za boda boda Tz
Huwezi kusikiliza tena

Mbinu mpya za kukabiliana na ajali za boda boda Tz

Mara zote madereva wa boda boda na askari wa Usalama Barabarani nchini Tanzania wamekuwa wakivutana.

Madereva hawa wanashutumiwa kwa kutokuwa makini na kusababisha ajali nyingi, lakini pia kuhusishwa na unyang'anyi.

Sasa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amekuja na mbinu mpya ambayo inatarajiwa kudhibiti yote haya.

Sammy Awami ana taarifa zaidi