Abadilisha chupa kuwa glasi ya maji Kenya
Huwezi kusikiliza tena

Abadilisha chupa kuwa glasi ya maji Kenya

Je, wajua kuwa chupa ambayo uliwahi tupa huenda ikatumika kama glasi ya maji na mwengine? Mjini Kilifi Kenya, jamaa mmoja anafanya kazi ya kuhifadhi mazingira kwa kukusanya chupa zilizotupwa na maganda ya nazi, na kutengeneza vifaa vya kutumika nyumbani. Ferdinand Omondi alizuru Kilifi na kuandaa taarifa hii.