Maelfu wafanyiwa ukaguzi wa bure wa matibabu Tz
Huwezi kusikiliza tena

Maelfu wafanyiwa ukaguzi wa bure wa matibabu Tz

Maelfu ya wenyeji wa mji mkuu wa Tanzania Dar es Salaam wamekuwa wakipanga milolongo mirefu tangu alfajiri ili kuweza kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu