Mtoto aliyezaliwa na jinsia mbili Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Masaibu ya mtoto aliyezaliwa na jinsia mbili Tanzania

Mtoto anapozaliwa katika jamii yoyote inakuwa ni ishara ya furaha. Hata hivyo, furaha hiyo inaweza kutoweka iwapo mtoto huyo atazaliwa akiwa na tatizo hasa la kiafya, kama ilivyokuwa kwa Asha, kutoka mjini Lushoto mkoani Tanga baada ya kubaini mtoto aliyemzaa ana jinsia mbili. Aboubakar Famau na taarifa zaidi: