Mbona Watanzania wengi hawana vyeti vya kuzaliwa?
Huwezi kusikiliza tena

Mbona Watanzania wengi hawana vyeti vya kuzaliwa?

Kwa mujibu wa ofisi ya taifa ya takwimu nchini Tanzania asilimia 87 ya watu hawajasajiliwa na kupata vyeti vya kuzaliwa na ni asilimia 13 tuu ndiyo waliosajiliwa.

Changamoto kubwa, wengi wanasema, ni mfumo wa usajili kupata vyeti hivyo na uelewa mdogo wa watu wengi.

Munira Hussein ameandaa taarifa ifuatayo.