Wanawake wanaopodolewa na wanaume Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Wanawake wanaopenda kupodolewa na wanaume Tanzania

Wanawake Afrika Mashariki na Kati na kwingineko ulimwenguni wana aina nyingi za urembo na hutumia muda mwingi kushughulikia miili yao, hivi karibuni kumekua na ongezeko kubwa la jinsia ya kiume kutoa huduma za urembo kwa wanawake hususan kusafisha kucha na kulainisha nywele.

Suala hili linachukuliwa kimantiki tofauti na tabaka mbalimbali nchini Tanzania.

Anna Mwiru ameandaa taaarifa ifuatayo.