Shida zinazowakabili wazee zinatatuliwa Tanzania?
Huwezi kusikiliza tena

Shida zinazowakabili wazee zinatatuliwa Tanzania?

Oktoba mosi kila mwaka ulimwengu huadhimisha siku ya wazee duniani.

Haba na Haba inauliza, je ni kwa namna gani tunachukua hatua stahiki na za kutosha kuzimaliza changamoto zinazowakabili wazee nchini Tanzania?