Watu wapenda mavazi ya madaha DRC
Watu wapenda mavazi ya madaha DRC
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuna kundi la watu wanaopenda kuvalia mavazi ya kipekee na wanaopenda kujionyesha kwa madaha.
Kundi hili hujulikana kama Sape, ambalo ni ufupisho wa Watu Wapenda Mavazi ya Kupendeza na Madaha.
Papa Wemba, mwanamuziki mashuhuri na kiongozi wa Sape alifariki Aprili.
Je, nini huwapa msukumo watu hawa?