Je vyama vya kisiasa vinawakilisha sauti ya vijana?
Huwezi kusikiliza tena

Vyama vya kisiasa nchini Kenya vimetakiwa kuwasilisha sauti ya vijana kwa kuwateuwa vijana

Utafiti wa Taasisi wa ustawi wa demokrasia Kenya CMD imeonyesha vijana wengi nchini Kenya hawajihusishi na masuala muhimu ya kisiasa. Hii ni pamoja na kuwa wanachama wa vyama vikuu. Pia vijana wengi hawagombei nyadhifa muhimu katika uwongozi.

Hii ni kutokana na vyama vya kisiasa kuongozwa na wazee, ada ya kuwa mwanachama inawafungia vijana wengi nje, lakini zaidi vijana hawataki kuwaunga mkono vijana wenzao kuwania uwongozi