Gayre, mwanamke mwenye ndoto kuu Somalia

Gayre, mwanamke mwenye ndoto kuu Somalia

Safiyo Jama Gayre, raia wa Somalia mwenye umri wa miaka 60 alipata ndoto kubwa maishani baada ya kutazama wanawake walivyokuwa wanateseka mahakamani na katika jamii.

Licha ya umri wake, alirejea masomoni na majuzi amehitimu chuo kikuu.

Anataka kuendelea hadi apate shahada ya uzamili.