Utamaduni wa kucheza na maiti Madagascar
Huwezi kusikiliza tena

Utamaduni wa watu kucheza na maiti Madagascar

Nchini Madagascar, jamii ya Malagasy ina mila na desturi ya kushangaza ambapo maiti hufukuliwa na kufanyiwa sherehe.

Familia yote huusika katika sherehe hiyo ijulikanayo kama Famadihana lakini sasa changamoto ni kwa familia nyingi zinashindwa kuchangisha fedha za kugharamia mila hii.