Maembe, mwanamuziki mpinga maovu Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Vitali Maembe, mwanamuziki mpinga maovu Tanzania

Muziki una ladha mbalimbali na kila mmoja kwa nafasi yake anapata kionjo iwe burudani, elimu, ama harakati vyote vinanyumbuliwa ndani ya muziki.

Vitali Maembe kutoka Tanzania anajipambanua miongoni mwa wanamuziki na wanaharakati. Amekuwa akiwakilisha jamii katika kukosoa maovu kupitia tungo zake.

Amezungumza na mwandishi wetu Munira Hussein.