Mwezi mmoja baada ya tetemeko la Kagera hali ikoje?
Huwezi kusikiliza tena

Mwezi mmoja baada ya tetemeko la Kagera hali ikoje?

Ni takribani mwezi mmoja sasa, tangu kutokea kwa tetemeko la ardhi mkoani Kagera kaskazini Magharibi mwa Tanzania, ambapo ujenzi wa makazi mapya kwa wahanga wa tukio hilo na maeneo ya taasisi unaendelea. Sammy Awami ametembelea mji wa Bukoba.