Malezi sahihi ya msichana ni yapi?
Huwezi kusikiliza tena

Michelle Obama ajadili malezi sahihi ya msichana.

Mke wa rais Marekani Michelle Obama amebainisha mbinu za malezi sahihi ya mtoto wa kike ili kuweza kukabiliana na vikwazo vya maendeleo ya mtoto wa kike Duniani.

Wawakilishi wa serikali ya Marekani,shirika la Plan International mwanamuziki Vanessa Mdee na wasichana 50 wa kitanzania wameshiriki mjadala huo maalumu.

Regina Mziwanda na taarifa zaidi.