Uagizaji wa kuku wa nje watishia wafugaji Kenya

Uagizaji wa kuku wa nje watishia wafugaji Kenya

Huku shinikizo zikizidi kwa Afrika kutumia zaidi raslimali zake kwa manufaa ya watu wake, rais wa benki ya Afrika amesisitiza ardhi kama moja ya raslimali ambazo hazijatumiwa kikamilifu Afrika.

Hili zaidi limewagusa wakulima ambao tayari wanakumbwa na changamoto nyingi. Hii leo tunaangazia ufugaji wa Kuku nchini Kenya ambapo unatishiwa kuporomoka kutokana na kuanza kuingizwa bidhaa za kuku kutoka nje.

Dayo Yusuf amemtembelea mfugaji mmoja katika shamba lake nje kidogo ya Nairobi.