Huenda juhudi za Kenya zinachangia ugaidi

Huenda juhudi za Kenya zinachangia ugaidi

Jitihada za Kenya kumaliza msimamo mkali wa kidini huenda ndio kwanza zinaendeleza misimamo hiyo, kulingana na wapiganaji waliorejea kutoka Somalia.

Kenya imekabiliwa na mashambulio makali tangu kuvamia nchi jirani ya Somalia.

Serikali imejaribu mbinu zote kumaliza tatizo hili, kuanzia matumizi ya nguvu nyingi hadi kutoa msamaha.

Lakini wakazi wa pwani wanasema maovu wanaotenda walinda usalama zinawasukuma vijana wengi mikononi mwa watu wenye imani za siasa kali.

Ferdinand Omondi anaripoti kutoka Mombasa.