Mary Njoku, mwigizaji stadi wa filamu Nigeria
Huwezi kusikiliza tena

Mary Njoku, mwigizaji stadi wa filamu Nigeria

Kwenye msururu wa makala za BBC za wanawake wa Afrika unaofaa kuwafahamu, tunakuletea leo Mary Njoku kutoka Nigeria ambaye ni mwigizaji na mwandaaji wa filamu.

Alianza kuigiza akiwa na miaka 17 na mwaka 2013 akafungua studio yake.

Anasema mamake alimsaidia sana katika safari yake ya kuwa mwigizaji stadi tangu utotoni.