Wavuvi watishiwa na dhoruba Ziwa Victoria, Tanzania

Wavuvi watishiwa na dhoruba Ziwa Victoria, Tanzania

Maisha ya mamia ya maelfu ya wavuvi katika Ziwa Victoria yapo hatarini kutokana na dhoruba kubwa zinazotarajiwa kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Luven cha Ubelgiji wameonya.