Majukumu ya serikali za mitaa Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Majukumu ya serikali za mitaa Tanzania

Leo katika kipindi cha Haba na Haba kinazungumzia kuhusu majukumu ya viongozi wa serikali za mitaa nchini Tanzania.

Tunauliza, unapohitaji huduma za serikali katika ngazi ya kijiji au mtaa unafuata utaratibu gani?