Utata kuhusu mazishi ya Mfalme wa mwisho Rwanda
Huwezi kusikiliza tena

Utata kuhusu mazishi ya Mfalme wa mwisho Rwanda

Wiki moja baada ya Mfalme wa mwisho wa Rwanda kufariki dunia nchini Marekani jamaa wa familia yake walioko mjini Kigali wamekutana na kutaka mwili wake usafirishwe toka Marekani na kuzikwa nchini Rwanda.

Mfalme wa mwisho wa Rwanda Kigeli V Ndahindurwa alifariki dunia nchini Marekani alikoishi kama mkimbizi.

Mwandishi wa Yves Bucyana.