Je Maandamano ndio njiya pekee ya kuwasilisha sauti?
Huwezi kusikiliza tena

Je, maandamano ndiyo njia pekee ya kuwasilisha ujumbe?

BBC SEMA kipindi cha vijana ambapo wanatoa sauti zao. Wiki hii tumekua na mada maalum kuhusu maandamano. Tunahoji, Je maandamano yanaweza kushinikiza mageuzi yeyote katika uwongozi au ni kelele ya vijana?. Kila Jumapili unapata nafasi yako kijana kusikika katika BBC SEMA. Kipindi hiki kinaangazia masuala yote ya vijana katika uwongozi