Bondia muuza matunda
Huwezi kusikiliza tena

Bondia muuza matunda nchini Tanzania

Lulu kayage ni msichana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 24 ambae ni bondia lakini vilevile ni mjasiliamali anayeuza genge la matunda kutokana na kuwa mchezo wa masumbwi haulipi, hata hivyo licha ya mchezo kutokulimpa siku chache zijazo atapanda ulingoni nchini ya Africa ya kusini kuwania ubingwa wa Afrika uzani wa Bantam kwa kupigana na Bondia Leighandre Jegels almarufu Baby jay .

Mwandishi wetu Omary Mkambara alimtembelea bondia huyu katika biashara yake na kisha kuambatana mpaka mazoezini na hii ni taarifa yake