Maalim Seif marufuku kuhutubu misikitini Zanzibar
Huwezi kusikiliza tena

Maalim Seif marufuku kuhutubu misikitini Zanzibar

Mgogoro wa kisiasa baina ya chama cha wananchi CUF na serikali ya Zanzibar unaendelea kufukuta licha ya jitihada zinazoendelea za kutatua mgogoro huo.

Hali hiyo imejitokeza baada ya katibu mkuu wa CUF Maalim Seif kupigwa marufuku kuzungumza misikitini hatua ambayo imepingwa na baadhi ya vyama vya upinzani nchini Tanzania.

Munira Hussein na taarifa zaidi: