Uhusiano wa Wamarekani Weusi na Waafrika

Uhusiano wa Wamarekani Weusi na Waafrika

Suala la wahamiaji nchini Marekani ni suala mwiba ambalo kwa miaka mingi huleta migawanyiko katika taifa hilo.

Wakati Marekani ikikaribia kufanya uchaguzi wake, mwandishi wetu Zuhura Yunus anatazama uhusiano wa Wamarekani Weusi na wahamiaji kutoka Afrika na jinsi wanavyojiandaa na uchaguzi.