Zuhura: Kufyatua risasi si mchezo

Zuhura: Kufyatua risasi si mchezo

Mjadala kuhusu haki ya kumiliki bunduki nchini Marekani ni moja ya mambo yanayojadiliwa sana kwenye kampeni za uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 8 Novemba.

Mgombea wa Republican Donald Trump anateteta haki ya raia kumiliki risasi lakini mpinzani wake wa Democratic Hillary Clinton anasema lazima kuwe na masharti.

Mwandishi wa BBC Zuhura Yunus yupo Marekani na amejionea uhalisia wa kuwa na bunduki.