Daktari wa kipekee
Huwezi kusikiliza tena

Tom Close, Mwanamuziki ambaye pia ni daktari nchini Rwanda

Wako wale wanaomuita Dr Thomas Muyombo, na wako wale wanaomuita Tom Close, Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Rwanda ambaye pia ni Daktari wa Binadamu hivi sasa akihudumu katika Benki ya Damu ya nchi hiyo.

Mwandishi wetu Arnold Kayanda alimtembelea Tom Close katika makazi yake mjini Kigali Rwanda